Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,291
- 2,466
Jana kwenye taarifa ya habari ya itv saa mbili usiku kulikuwa na taarifa iliyohusu msiba wa Arusha. Tangu siku mbili zilizopita imejulikana kuwa watoti hao wametokea shule inaitwa Lucky Vincent. Kama mtu wa habari, mtangazaji anapaswa kujua kwa usahihi habari kamili na mazingira husika.
Kichekesho ni kuwa yupo huyo mtangazaji wa taarifa ya habari wakati akiitaja shule husika alitamka "Luki" Visent badala ya "Laki". Huu ni ukihiyo na ukanjanja. Kuonekana kwenye tv sio sura na sauti tu, bali uelewa wa mwanahabari mhusika. Nimemhifadhi tu jina nisije nikashushiwa mizinga ya nyuki