Dua Kwa Watoto wetu

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Salaam ndugu zangu wapendwa Poleni na majukumu Ikiwa leo Nisiku moja toka tuizike miili ya watoto na wadogo zetu wapendwa
.

Nimeona leo Tuifanye nisiku ya kuwaombea Dua hapa jf
Naimani kilammoja ana Imani yake
.bhaasi naomba comment Dua Yako

Kuashiria upendo Na uzalendo wetu Wa tanzania
..

Watoto wetu wakalale pema peponi Kwani ieleweke Marehemu Anaomba sanaa kupata Dua na sala kutoka

Kwa wapendwa wake walio hai .

Naanza kwa kusema

Eeeh mungu muumba mbingu na Ardhi Naomba uwasamehe walimu na watoto wetu .makosa walio wahi fanya kwakujua nakuto kujua

Na Nuru uwaangazie eeeh muumba Wafanye watoto wenye furaha na Amani Mpaka siku ya mwisho wa dunia hii
.angazia nuru na neema nyusoni na makaburi yao yawe niyenye kumeremeta

Wajalie wazazi wao mioyo ya subra na kushukuru

Nakuomba utusikie eeeh muumba Amiin

dcb5c599a99d59d95e6c7518ea26054c.jpg
cb5df9c6dba54b831c52e8c0b52ad41a.jpg
8332ff4932f27d627cbc7b7daf585ec1.jpg


683dcbef47eb6973a0f5f0a497ce4252.jpg
 
Back
Top Bottom