Moments which you might feel so embarrassed

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
13,960
35,077
While taking my cold balimi this shit just crossed my mind:

Unaenda ugenini unatakiwa kuvua viatu alafu una soksi ambazo zinanuka au zimetoboka;

Uko kwenye mkutano watu wanapiga kelele alafu ghafla wananyamaza wakati wewe unatoa tusi linalosikika na watu wote;

Unaenda long safari alafu umekaa na demu mkali pembeni yako alafu unapata tumbo la kuhara, shit;

Embu leteni embarrassing moments so that we share experience
 
Unapopata fursa ya kukapa na mtoto kisu kwenye siti moja afu unataka kutupia mistari ila kila ukitathmini hali ya harufu yako ya kinywa jinsi kinavyonuka vibaya (unanuka mdomo)

Inakubidi unabaki kukaa kimya tu kama fisi anayekodolea macho mkono wakat binadamu akitembea akidhan utadondoka. Maana ukiongea utachafua atmosphere kwa mtoto kisu.
 
you go for chewing gum
 
Pale unapojua sasa kila mtu mpaka mtoto anajua pamoja na mabit, mikwara, unoko, ujuaji, kiherehere ulicho nacho, imejulikana una cheti cha mwendokasi.
 
Pale Unapo tumbuliwa kwenye vyeti feki wakati wewe ndo ulikuwa unawatambia wenzako mtaani, kwa mademu, baa na kazin kuwa wewe ndo inchage wa wakaguzi wa vyeti feki kanda.

Ref: mkaguzi vyeti feki naye atumbuliwa kwa vyeti feki.
 
Hatare kubwa
Ni pale unapojibana wakati wa kuja..mba , wakati wa kelele za mziki kisha Umeme ukakata ghafla wakat kamlio kako katikati tena mbele ya demu unayemtolea umate mate,
Afu kanatoka kale kasauti kembambaaaaa...pyuuuuuuuuuuuuuuu....... Huku kakiambatana mubashara na mlio mkali sana na harufu mbovu zaid ya yai viza la kware jike.
 
Ni pale unapojibana wakati wa kuja..mba , wakati wa kelele za mziki kisha Umeme ukakata ghafla wakat kamlio kako katikati tena mbele ya demu unayemtolea umate mate,
Afu kanatoka kale kasauti kembambaaaaa...ila kana mlio mkali sana na harufu zaid ya yai viza .
That shit is embarrassing, you get some nuthead screaming at you, kubwa zima umejamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom