JMF
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 1,751
- 2,749
Salaam wana JF,
Nahitaji kujenga stoo ya kuhifadhia mazao ya mbogamboga kama matunda, viazi na nyanya. Naombeni kwa anayejua ujenzi wake unatakiwa uwe vipi na pia mashine ya kupooza hiyo stoo inatakiwa iwe ya aina gani na kama zinapatikana Tanzania. Maranyingi nimekuwa nikiona stoo za nafaka tuu lakini kwa hizi perishable goods sijawahi kuziona hivyo kwa ambaye ameshaziona hapa Tanzania au anazifahamu naomba mchango wako wa mawazo tafadhali.
Ahsanteni.