Binafsi nimegundua hapa dar nyakati hizi wanaume wanasalimia wanawake vizuri hadi raha. Baadhi nilikua napishana nao ni salamu tu"mambo?" au hata anaweza asikusalimie. Ila sasa utasikia Dada habari, pole? hata nisiposalimia na nikianza Mimi kusalimia heee anaitika vizuri kama anataka kukwambia kitu vile hata ukimkunjia uso.