mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,051
- 3,255
Nimeifanya Hii Research ndogo kwa Majina ya watu watumishi wa Umma waliofoji Vyeti , pamoja na Majina yaliyotoka leo ya wauguzi pale Muhimbili Hospital, ukijaribu kuchunguza kwa Ujumla wake Utakuta hakuna Uwiano na Wengi wao ni Jinsia Ya Kike.
Je hiyo inatupa tafsiri gani ?
Je hiyo inatupa tafsiri gani ?