Bandari zote hakuna aliyetoka vyeti feki wanasema mh. Rais kawasamehe hii ni haki?

Jane masebo

New Member
May 13, 2017
4
3
Imekaaje hii wana JF,

Wengine wanasema watatolewa wote lakini sio wao, fikria kuna watu kibao walopoteza kazi na wengine sasa hivi wamechanganyikiwa basi kama kuwasamehe angewasamehe wote akaanza kuhesabu watakaoajiriwa upya lakini hawa angewaacha wote lakini sio kwa ubaguzi huu nampenda Magufuli lakini kwa ubaguzi aloonyesha kanivunja moyo.
 
Tuache wivu, kaombe kazi huko bandari na cheti chako feki sababu utakuwa salama.
 
Kwani hapo ndo umeona tu ?! je Jeshini kuna aliyeguswa ?! Wana siasa wanaosimamia zoezi lenyewe je wameguswa?!

Zoezi hili halina mantiki ni LA kibaguzi , kuna kada muhimu na nyingine siyo kwa mtizamo wa huyo bwana!!!
 
Tuache wivu, kaombe kazi huko bandari na cheti chako feki sababu utakuwa salama.
Hii kauli nadhani Ni ya utani aidha kwa kuwa unaamini mleta mada anaongea uongo. Ila kama Ni Kweli tuhuma hizo basi hapo Rais kapotoka kwa Mara nyingine tena.
 
Kwani hapo ndo umeona tu ?! je Jeshini kuna aliyeguswa ?! Wana siasa wanaosimamia zoezi lenyewe je wameguswa?!

Zoezi hili halina mantiki ni LA kibaguzi , kuna kada muhimu na nyingine siyo kwa mtizamo wa huyo bwana!!!
Nilidhani kada muhimu ndio za kutilia mkazo. Ila si Kwa bwana huyu
 
Rais mpenda sifa.
Usishangae akawasamahe wote, ina short labda nia yake ni kuchelewesha muda wa ajira na kupoteza rasilimali za nchi kuhakiki miaka yake yote mitano
 
Subiri majina yao yanatoka kesho. Yaliyotoka niwale walio chini ya tamisemi ya watumishi walio chini ya serikali kuu ndo yanamwagwa kesho.
 
Back
Top Bottom