Jinsi ya kupata deni lako bila usumbufu

Jinsi ya kupata deni lako bila usumbufu

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,581
Reaction score
20,216
wakuu kiukweli nimekaa leo na kufikiria madeni nayodai na kujumlisha inafikia kama mil 1 na chenchi ndogondogo

watu ninao wadai hawakatai kunipa ila wanasema nakutafutia wengine naheshimiana nao sana,sasa wakuu kutumia nguvu siwezi

nimekaa nimetafari sina silaha,nguvu sina na maneno mengi sina je nitapata kwa njia gani mimi

kingine kinachoniumiza ni kwamba sina interaction kubwa ya kutafuta ela ndo kwanza nimeanza na ndo ninadai ela yote hiyo sasa nawaza miaka 10 mbele NAUMIA SIPENDI KUDAI OOOH jamani wakuu msada ni njia gani za kutumia udai bila ugomvi
 
Nenda azima kitu cha thamani ya deni lako. Kwa kuwa unamdai ataona aibu kukunyima atakupatia.Kikifika kwako tafuta mseti kisha mwambie yule mdeni wako kwamba umezidiwa na huna pesa,hivyo unauza kile kifaa kufidia deni lako. Eidha atakulipa haraka deni au atakwambia uza tu. Wafanyie wote hayo.
 
chalii angu wana familia labda mmoja ana mke na ndo namdai nyingi sasa mkuu nimuombe nini
 
Basi kama ubabe kidogo hauwezi nenda kwa debt collectors watakufanyia kazi hio kwa ujira mdogo Kwa sisi wengine ngumi mkononi tungeomba hata simu kujifanya tunatuma sms. Kisha tunawaambia ndio tumeshajilipa. Wakizingua wanachezea za chembe!
 
mambo gani tena haya sister ya kuja kutangazana na kuzalilishana huku nimekwambia kihela chako nitakupa wiki ijayo haitapita.

nifanyie hata nusu atleast ninaiwazia san
 
Basi kama ubabe kidogo hauwezi nenda kwa debt collectors watakufanyia kazi hio kwa ujira mdogo Kwa sisi wengine ngumi mkononi tungeomba hata simu kujifanya tunatuma sms. Kisha tunawaambia ndio tumeshajilipa. Wakizingua wanachezea za chembe!

naomba uniescot jumatatu plz
 
duuu pole sana,yani siku hizi ukitaka kugombana na mtu we mkopeshe alafu ukumbushie deni lako,bora tu watu waanze kujifunza roho mbaya labda kama tu ni ndugu na hapo unakuwa tayari kwa lolote irudishwe au isirudishwe
 
mi najifunza sasa hivi SIKOPESHI
 
  • Thanks
Reactions: lin
Back
Top Bottom