Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,177
- 2,803
Mshikaji kajenga nyumba kwenye mkondo wa maji sasa nyumba inaisha kidogokidogo yani ana stress kuliko mtu mwenye ngoma kiukweli nimeshindwa kumpa ata pole maana wakati ananunua kiwanja wadau walimwambia akapuuzia. Sasa anataka ahamie kwangu eti mtu mwenyewe nna chumba kimoja tangu mvua zianze kuna mtu ananisaidia kupunguza baridi atajijua bwana jamani msinunue viwanja sehemu za ovyo kisa bei cheee