Asilimia 80 ya wanawake wanaotumia JF ni wasomi

Aiseeh, kama wewe ni wa kiumeni asante kwa kutambua hilo iwapo tuu hujamaanisha kinyume chake na kuwa umetupa jiwe gizani.

Asante sana japo mie nna cheti cha kufuzu kuendesha magari daraja C. Vingine hata sijui kana havijatumbuliwa...
 
Yap asilimia 80 ya wanawake wanaotumia Jf ni wasomi yani wana Elimu at least Certificate, kwa wanawake wenye akili kama bongo muvi au gigy money uwezi wakuta humu
Vigezo gani umetumia kufahamu jambo hilo? kwani kujiunga JF kuna category ya kujaza kiwango cha elimu? wengi wapo kwenye Jukwaa MMU na Jukwaa la Celebrities

Hoja yako ingekuwa na nguvu kama wangekuwa kwenye majukwaa ya kuelimishana na majukwaa yenye changamoto za maarifa na ufahamu kama Jamii Intelligence, International Forum,
Tech, Gadgets & Science Forum na Jukwaa la Siasa
 
Ohoooo!!! Ngoja wakusikie ina maana hao 20% iliyobakia wana level gani ya elimu
 
Aiseeh, kama wewe ni wa kiumeni asante kwa kutambua hilo iwapo tuu hujamaanisha kinyume chake na kuwa umetupa jiwe gizani.

Asante sana japo mie nna cheti cha kufuzu kuendesha magari daraja C. Vingine hata sijui havijatumbuliwa...
Mmmh !! kinyume chake tena....? hujiamini !!
 
Back
Top Bottom