Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Poleni sana kwa majukumu ya kujenga taifa. Hivi naomba kuwauliza viongozi wangu wa ubungo ni barabara ngapi zipo kwenye bajeti ya kujengwa kwa mwaka ujao wa fedha na ni zipi? Naomba nitajiwe na...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
TAFAKURI YAKINIFU. Nimesikia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ikijinasibu kuwafutia vyeti vya taaluma wale wote wenye vyeti FEKI vya Kidato cha 4 na 6. Nadhani hawa waheshimiwa tuwasaidie...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Nakumbuka serikali ilikomba zaidi ya bilioni moja iliyokuwa imekusanywa katika akaunti ya wale waliokuwa na DESI. Zilienda wapi?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu habari za wiki end, Nimeamka na kukuta Halotel SMS hususani za WhatsApp hazitoki kabisa na Network yao ipo chini. Je hii inaweza ikawa ni hujuma ya upinzani? Mwenye jibu tafadhali
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakuu naomba msaada wa namna ya kujisajili na huduma ya kuaccess taarifa za akaunti ya CRDB kupitia simu. Nipo wilaya isiyo na benki ya crdb kikazi na nahitaji kujua kama mwajiri wangu kaniingizia...
2 Reactions
67 Replies
83K Views
Tunaambiwa mzani una hitilafu. Kwa wanaotoka Dar foleni sasa inakaribia daraja la reli Ruvu. Nona hata trafic wamezidiwa. Labda baadhi ya malori yapite bila kupima. Magari toka Dar yameziba njia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarin ndgu zangu…! nimkaa nikajifkiria hivi hakuna njia nyingin ya kupimwa choo(stool test) maabara zaidi ya hii inayotumika saiz ambapo mtu unapewa kikopo uend nacho choon zen uweke kinyesi...
4 Reactions
78 Replies
11K Views
1 Reactions
11 Replies
3K Views
KUBENEA NA MWANAHALISI YAKE Wakati serikali bado wanahangaika na harakati za kumtafuta Faru john kwa njia mbalimbali ikiwemo utaalamu wa kupima vinasaba vya pembe walizokabidhiwa ikidaiwa ni za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Poll Poll
kuna ajali ya train deluxe imepata ajali eneo la Nguruka Kigoma ila tunamshukuru Mungu hakuna alie umia sana ni majeruhi Wa kawaida Tu mabehewa matano yamelala chini ======= AJALI YA TRENI...
2 Reactions
46 Replies
18K Views
Ndugu zangu natumai ni wazima pia poleni na majukumu, Swali langu ni kua naomba kujuzwa juu ya ununuaji wa viwanja ni vitu gani vya kuzingatia wakati wa kununua kiwanja. Nitashukuru nikipata...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naombeni msaada wa kupata hii machine kwa hapa Tanzania. Je unaweza kuipata mkoa gani?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
"Dear Mama" [2pac:] You are appreciated When I was young, me and my mama had beef 17 years old, kicked out on the streets Though back at the time I never thought I'd see her face Ain't a woman...
2 Reactions
1 Replies
811 Views
Jamani tuliobakia Kwenye ofisi tufanyeni kazi Vyeti feki stories zake ziishe sasa,maana unakuta tangu watu wanaingia ofisini Mpaka muda wa kuondoka neno vyeti feki halitoki kinywani! na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Umoja wa mataifa (UN) kupitia shirika lake la afya duniani (WHO) huadhimisha wiki ya kimataifa ya nenda kwa usalama barabarani kila mwaka. Asasi za kiserikali na binafsibhualikwa katika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana JF, Inasikitisha kila kukicha ni habari za ajali tu, inaumiza sana. Je, ule mpango wa kukaa na madereva wa magari makubwa ya mizigo na ya abiria kuongea nao uliishia wapi? Mbona...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Naona mabenki kadhaa sasa yanajitangaza tofauti na hapo awali,hii inaweza kuwa inamaanisha lolote as far as hali ya uchumi ya sasa is concerned?
0 Reactions
2 Replies
787 Views
Habari za jioni waungwana!? Hivi mtu alieishi na mwanamke miaka mitano, wana watoto wawili wakubwa, wanabariki ndoa yao nao poa kuna haja ya kuwachangi!? Michango inatia kizunguzungu sasa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Shirika la Utangazaji Tanzania kupitia Chaneli yake ya luninga ya TBC1 inatunyanyasa sisi watazamaji wake tunaotumia Tv za kisasa kama Flat screen za aina mbalimbali. Ukiangalia vipindi vya Tbc1...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari ndio hiyo, Yale kagera yanaelekea kujirudia RAMBI RAMBI YA WAFIWA "LUCKY VICENT SCHOOL". Familia za Wanafunzi, Waalimu/Dereva zilizopoteza wapendwa wao kwenye ajali ya gari la shule ya...
13 Reactions
219 Replies
24K Views
Back
Top Bottom