WATUMISHI TANZANIA: Special Thread

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,162
794
Hbari wana JF
Watumishi wa umma ndio habari kuu kwenye kila kona ya nchi hii...hata nje ya nchi watumishi hutajwa hasa pale Mzee magu anapowanyoosha.

Naomba uzi huu uwe maalumu ili kila kitu kihusucho hawa watu iwe tuatafuta huu uzi. Kwa ridhaa ya Mods wetu naomba tuuweke sticky ili uweze kuwa uzi kwa watumishi.

Naelewa kisheria hairuhusiwi kuweka doc za serikali lkn wao wataelezana watapeana kwa namna gani. Kisheria watumishi waelewe hairuhusiwi kuweka doc za serikali humu..

Zipo njia muafaka ka email na kadhalika

Ahsanteni sana..naomba kuweka uzi
 
Afungulie uhamisho, ndoa zinakata roho huku. Mke Mtwara Mume Kigoma ufanisi utatoka wapi?
Hiyo Tanzania ya viwanda ndo itajengwa na watu wenye nyeeeege kweli? Labda viwanda vya ARV's na kondom
 
hi
Afungulie uhamisho, ndoa zinakata roho huku. Mke Mtwara Mume Kigoma ufanisi utatoka wapi?
Hiyo Tanzania ya viwanda ndo itajengwa na watu wenye nyeeeege kweli? Labda viwanda vya ARV's na kondom
li lina ugumu gani lkn? si watoe opt nani aende wapi?
 
Hamruhusiwi humu nduki
84c67266354598b2096a585fe5e96bdd.jpg
 
Back
Top Bottom