Anicet mchomvu
Member
- Apr 18, 2012
- 95
- 213
Jamani wadau habarini za sa hizi and Happy Mother's Day,
Wadau naomba kuuliza na mwenye kujua anielimishe na kunifungua kidogo
Hivi tunavyosema mama tuna maana gani?
Wadau naomba kuuliza na mwenye kujua anielimishe na kunifungua kidogo
Hivi tunavyosema mama tuna maana gani?
- Je ni binadamu yeyote wa jinsia ya kike mwenye mtoto/watoto? Je kama hana watoto na anatunza/anawajibika kama mama kwa mtoto/watoto asiowazaa anaweza kuitwa mama?
- Je ni mwenye uwezo wa kuzaa na kuanzisha familia? Na kama hana familia anaweza kua mama?
- Je ni mama kwa sababu alibebe mimba kwa Miezi tisa? Au
- Je ni kulingana na majukumu na michango yake katika familia, ndio maana tunamuita mama? Kama ndio, je kama alikimbia majukumu yake na majukumu hayo yakachukuliwa na kufanywa na baba, Je na huyo baba aliyechukua majukumu ya mama anaweza sherekea na yeye Siku ya Leo kwa sababu kayafanya majukumu ya mama?