Izo Picha zinazokaa kwny Thread Ni Nani anaziweka Mtoa mada au??

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,098
Bwana Yesu asifiwe!!! Habarini za majukumu ya kujenga Taifa??

Naomba kujua kwny kila MADA utakuta kunakua na picha,,,either inayofanana na Mada husika au la.


Sasa je nani huwa anaziweka ni Mtoa mada mwenyewe au Mods????
Maana hata kwny Mada zangu mm ckuweka picha,,,lakn baadae unakuta picha.

Naomba kuwasilisha. Mungu awabariki.
 
e7da2e7960016202ff1e5ef7c058ad1b.jpg
 
Back
Top Bottom