Kwaheri mpendwa wangu, nyuma yako mbele yetu. Ameen

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,262
5,398
taarifa hii ya msiba wa rafiki yangu nimeifuta kwa sababu maalumu.
samahani kwa niliowakwaza na nashkuru kwa wote mlionipa pole,
Mungu Awabariki Ndugu zangu.
 
images(5).png
 
Poleni na msiba na tuna muombea ndugu yetu Selemani Allah amueke anapostahili.
 
Unakuta mwenye vyeti feki ametokea kwenye familia ya kimaskini, tokea akiwa na miaka 15 yeye ndio baba na ndio mama kwa wadogo zake. Amejitahidi kusoma mpaka kamaliza chuo lakini jina lake limekosewa tu na mamlaka husika, na kujaribu kupatiwa kipya lakini akajikuta anasumbuliwa na kuamua kubakia na hicho cheti chenye makosa. Sasa wakati huu wa fagio la vyeti feki na yeye limemkuta kwa kosa la mamlaka husika. Sababu ya kusema hivi kuna jamaa nilikutana nae Australia Passport yake imekosewa tarehe ya kuzaliwa tofauti na cheti chake cha kuzaliwa(birth certificate).
 
muafi habari yako inaelea na ina mapungufu ya kukosa kiini cha habari. Huyo Selemani ni selemani nani na alikuwa anafundisha shule gani iliyoko wapi. Leta taarifa kamili.
 
Back
Top Bottom