uhakiki wa umri kwa watumishi wa umma ni jambo ĺa muhimu na kamwe lisipuuzwe!!
naamini kuwa mhe. Rais JPM hakutamka jambo hilo kwa bahati mbaya, ni wazi kabisa kuna tatizo/ matatizo kama yafuatayo:
1.kuna watumishi ambao umri wa kustafu umetimia lkn bado wamo ktk nafasi zao hivyo wanasababisha ukosefu wa ajira kwa vijana.
2.kupungua kwa ufanisi kazini ,umri umesonga lkn bado hawataki kustaafu!!!wanafanya kazi kwa mazoea!!!!
3.................
waziri wa Utumishi kwa kushirikiana na wataalamu wa wizara zingine tunaomba zoezi hili lifanyike ili kutoa fursa za ajira kwa vijana.
utafiti usio rasmi unaonyesha idadi kubwa ya watumishi wa umma wamegushi au hawatambui umri wao halisi, hivyo hupeleke wazee wengi kazini vijana wachache!!!!
Kuna ulazima na umuhimu wa Uhakiki wa umri.