malikafif84
Member
- Feb 6, 2013
- 39
- 31
Uhakiki uendelee na kwenye Leseni feki za Class C na E maana hawa ndiyo Madereva wenye dhamana kubwa ya kubeba Abiria na Mali.
Nani kakwambia E anabeba abiria?Uhakiki uendelee na kwenye Leseni feki za Class C na E maana hawa ndiyo Madereva wenye dhamana kubwa ya kubeba Abiria.
Mwenye Class E anaendesha lori kwani unavyojua Tonboy anakuwa kama nani pale?Nani kakwambia E anabeba abiria?
Wewe kweli uko Tanzania ta Kongo umemwita tanboy halfu unauliza anakuwa nani yule sio abiria ni msaidizi wa derevaMwenye Class E anaendesha lori kwani unavyojua Tonboy anakuwa kama nani pale?
Pia sio mbaya japo niliwalenga waliopewa dhamana ya kubeba abiria na mali.Kwa nini isiwe kwa leseni zote mkuu?
Ahaa sawaPia sio mbaya japo niliwalenga waliopewa dhamana ya kubeba abiria na mali.
Unajua hayo madaraja ili uwe nayo inabidi ukasome NIT au Veta lakini wengi hawaendi kusoma na bado wanapata hayo madaraja kwenye leseni zao.Ahaa sawa
watu tunapenda shortcut sanaUnajua hayo madaraja ili uwe nayo inabidi ukasome NIT au Veta lakini wengi hawaendi kusoma na bado wanapata hayo madaraja kwenye leseni zao.
Labda anabeba watu wa mnadani kwenye loriNani kakwambia E anabeba abiria?
D hapakiagiagi abiria?Mwenye Class E anaendesha lori kwani unavyojua Tonboy anakuwa kama nani pale?
zile za mnadani wanalazimisha inatakiwa ibebe mizigo ya abiria na sio abiriaLabda anabeba watu wa mnadani kwenye lori