Shiriki nasi kwa kutuwekea link ya thread unayodhani ni bora

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,051
3,255
Ipi thread bora kwako , thread unayopendelea kuipitia kila wakati.

Shiriki nasi kwa kutuwekea link ya thread unayodhani kwako ni bora kwa wakati wote,ili nasi tupate fursa ya kuisoma kama ilitupita .
Kwangu naanza na hii...

Je, wajua? - Special Thread

Ahsanteni
 
Natoka nnje ya mada kidogo naomba kujua jinsi ya kuweka link kwenye thread
 
Back
Top Bottom