Hapo kwenye mazingira mazuri ya biashara hapo....Kama unaweza unaenda kukopa hela uanze hata biashara mkuu...(Kama mazingira ya biashara ni mazuri lakini)
ndio ila sasa kama sio mazuri ndio inabidi tuumize kichwa zaidi sisi kama vijana... Pia ukiangalia kitu chochote unachotaka kikuingizie pesa ni lazima pesa nayo itumike...Yaani utumie pesa kupata pesaHapo kwenye mazingira mazuri ya biashara hapo....
Kilimo nacho kinahitaji pesa mkuuBiashara zenyewe hazitoki,unawezakopa alafu ukashindwa kurudisha pesa ya watu pamoja na riba juu yake.Biashara zimekua ngumu hata kwa watu wasio na mikopo sembuse unaetaka kukopa? labda tuzame kwenye kilimo hasa kwa kipindihiki cha mvua kidogo.
Mkuu ukiwa na mradi mzuri au wazo zuri la biashara ambalo una uhakika litaleta tija taasisi za fedha hazisiti kukukopesha mkuuwazo la joseverest nzuri sana ila sema taasisi gani itakupa pesa manake halii hii ya hapa kazi imetuasiri wengi sana mpaka taasisi za fedha
Wazo lako zuri... kikimo cha umwagiliaji au ufugaji... wa kuku. Kwa kuanzia nadhan hiyo inafaa.Mimi nadhani sululisho ni kilimo na ni kile cha umwagiliaji ila ktk biashara hakuna kitu maana mzunguko wa pesa unazidi kupungua siku hadi siku hivyo kupelekea biashara kudolora kama unataka kuingia ktk matatizo basi kopa uwekeze ktk biashara
nachosemea kwasasa hali ni ngumu hapa nchini hata hizo taasisi zinajua kuwa biashara mbaya ndomana zinafungwa kila sikuMkuu ukiwa na mradi mzuri au wazo zuri la biashara ambalo una uhakika litaleta tija taasisi za fedha hazisiti kukukopesha mkuu
Lakini mkuu hayo mazao ya kilimo yatauzikaje kama umesema biashara mbaya na mzunguko wa pesa ni mbaya??Mimi nadhani sululisho ni kilimo na ni kile cha umwagiliaji ila ktk biashara hakuna kitu maana mzunguko wa pesa unazidi kupungua siku hadi siku hivyo kupelekea biashara kudolora kama unataka kuingia ktk matatizo basi kopa uwekeze ktk biashara
hii ndo point manake hata ikikata itakua hudaiwi na mtu tena unafanya bila wasiwasiWazo lako zuri... kikimo cha umwagiliaji au ufugaji... wa kuku. Kwa kuanzia nadhan hiyo inafaa.
Kabisa mkuu hali iliyopo sio rafiki kibiashara wengi wanaendelea kupoteza mitajiWazo lako zuri... kikimo cha umwagiliaji au ufugaji... wa kuku. Kwa kuanzia nadhan hiyo inafaa.
Mkuu ktk vitu ambavyo haviepukiki ni kula na asilimia kubwa miongoni mwetu kwa sasa tunaishia kupata pesa ya kula sio ya kuweza hata kuweka akiba. Hali ya kiuchumi inapokua nzuri kwa mwananchi ni kwamba anaweza kufanya hata vitu vya ziada ikiwa ni pamoja na kukuza vyanzo vyake vya mapato tofauti na sasa.Lakini mkuu hayo mazao ya kilimo yatauzikaje kama umesema biashara mbaya na mzunguko wa pesa ni mbaya??
Nili maanisha hilo,Mimi nadhani sululisho ni kilimo na ni kile cha umwagiliaji ila ktk biashara hakuna kitu maana mzunguko wa pesa unazidi kupungua siku hadi siku hivyo kupelekea biashara kudolora kama unataka kuingia ktk matatizo basi kopa uwekeze ktk biashara
Nili maanisha hilo,mzunguko wa pesa unazidi kupungua kwa kasi ya ajabu,linganisha sasa hivi,zamani ulikua ukichukua mkopo kwa kudhamiria kitu unachotakakufanya siku chache unakua umerudisha pesa ya watu na ukabakia na mtaji wako.Lakini sikuizi wamepandisha kodi zaidi ya marambili sijui utazungushaje pesa ya mkopo na wewe ukafaidika anyway sijui kwakweli.Mimi nadhani sululisho ni kilimo na ni kile cha umwagiliaji ila ktk biashara hakuna kitu maana mzunguko wa pesa unazidi kupungua siku hadi siku hivyo kupelekea biashara kudolora kama unataka kuingia ktk matatizo basi kopa uwekeze ktk biashara
nachosemea kwasasa hali ni ngumu hapa nchini hata hizo taasisi zinajua kuwa biashara mbaya ndomana zinafungwa kila siku