Wakuacha
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 2,046
- 1,337
Habari zenu,
Zoezi la kuyafuta yale majambazi ya vyeti, yaliyoshindwa kujiongeza limeendelea vizuri na pia mafanikio ni makubwa; Safi sana yatupishe tu. Baada ya kumaliza hili Serikali sasa kutokana na wingi wa ajali kuna haja ya kupitia leseni za Madereva, yaani kuna Madereva hawajawahi kupitia mafunzo yoyote lakini cha ajabu wana leseni hizi leseni zao zifutwe na bodaboda hawa ndo tatizo, mtu anajifunza pikipiki asubuhi jioni ashakuwa Bodaboda unamkuta katega.
Tutakufa sana kuna haja ya kupitia hizi Leseni!
Yangu nishairudisha maana sina sifa ya kuimiliki.