Mimi ni Mwananchi wa kawaida na ninaishi mtaani ambako wananchi wa kawaida wanaishi. Ukisikiliza Wafanyakazi wa Umma mambo wanyazungumza ni kuilaumu Serikali. Mfano Bajeti imepangwa fedha haifiki kunakohusika, hawalipwi stahili zao, Miradi haitekelezwi, miradi haikaguliwi n.k.
Ukimsikiliza CAG naye anasema hapati fedha za kutosha za ukaguzi n.k. Ukimsikiliza mkulima sasa ndo usiseme. Kwa mkulima gharama za maisha zimepanda, kila kitu bei juu na hakuna mzunguko wa hela.
Ukija kwa mfanyabiashara yeye anasema hakuna mzunguko wa hela, hakuna wateja n.k. Kiukweli nchi haitakiwi wananchi wawe wanalalamika kila kona labda kuna dosari sehemu fulani. Ni vyema utafiti ukafanyika ili tatizo lifahamike na Serikali iweze kuchukua hatua.