Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 22,802
- 51,009
Naomba kujulishwa miwani anayovaa Rc wa Mbeya ndugu Amos Makalla ni ya nini? Maana imekaa kimauzo na yeye anapendelea kuvaa muda wote, wataalam wa miwani karibuni.
Angalizo:
Kama huna cha kuchangia pita kimya.
Angalizo:
Kama huna cha kuchangia pita kimya.