Leo ungepewa uwezo wa kuwa rais vipi hasa vingekua vipaumbele vyako?

MaRais wako wengi ww unamzungumzia yupi kati ya hawa?
Wa Manzese
Wa Wasafi
Wa Tff
WaTls
wa Masauti
Au Urais huu wa," Kwa bahati mbaya or Nzuri mm ndie Lais"??????
 
Kipaumbele changu kingekua :-
Kilimo
Elimu na
Mindo mbinu
kwa miaka mitano yote ya mwanzo.

Miaka mitano ya awamu ya pili:-
Elimu
Maji
Afya na
Utalii.
 
Afya
Elimu
Kilimo
Miundombinu
Ustawi wa sekta binafsi/ajira
Utalii

Anyway...urais wa miaka 5 ,10 au maisha??????

Nimwage vipaumbele hapa
 
Hahahaha haitheee kweli kuna vilaza hii ni ndoto ya mwendawazimu akiota kanunua gari matokeo yake anaingia barabarani mwenyewe honi ya mdomo
 
Back
Top Bottom