LENGIO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 1,096
- 508
Mkuu wa mkoa Arusha amekuwa anafanya siasa za kupoteza muda kwa kisingizio cha kusikiliza kero za wananchi lakini hakuna chochote kilicho fanyika. alikuja soko kuu tukampa kero zetu hakuna hata moja iliofanyiwa kazi, licha kutoa siku ziwe zimetekelezwa.
Anazunguka na maafisa wote serikali kuanzia polisi,TRA,Mipango miji,Idara maji,Uhamiji, anazurura nao mwisho wa siku hakuna kitu kinachofanyiwa kazi.Bora awaache maofisini watuhudumie kuliko kuzunguka nao kufanya usani.Anaiga kitu asichoweza kufuatilia.