Wenye kuona mbali walishauri sio busara ku-phase out daladala completely badala yake miundombinu ingejengwa kuruhus ya-operate in parallel na mwendokasi. Wangeondoa vipanya na coaster wakabakiza yake makubwa ambao wangeshindwa wangejiondoa wenyewe kwenye biashara na sio kuwaondoa kwa nguvu ya dola. Madhara yake ndio hayo; hakuna usafiri mbadala pale mwendokasi unapofeli au kuzidiwa na idadi ya abiria.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.