Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,420
Wakuu ktk pitapita zangu naona jamaa wamepungua sana mabarabarani. Hivi kuna mtu kaliona hili? na km ni kweli kuna sabab zp?
vyeti vinasumbua kakaWakuu ktk pitapita zangu naona jamaa wamepungua sana mabarabarani. Hivi kuna mtu kaliona hili? na km ni kweli kuna sabab zp?
Hawa wangewaacha tu kwan kumulika tochi kunahitaji fomu 4?vyeti vinasumbua kaka