Hili basi ndo wamepewa serengeti boys-bendera ya Tanzania iko wapi?

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
9-1.jpg

Nimeiona mahali hii, hili basi ndo watakuwa wanatumia Serengeti boys huko Gabon ninahisi mabasi hayo yamepambwa na bendera ya kila nchi inayoshiriki, mwenzenu hebu nisaidieni, bendera ya Tanzania hapo iko wapi? au macho yangu
 
W

WWQWWWWewe
Itakuwa upande wa pili.. Hapo si unaona pamejaa? Watu kama nyie ndo mnalazimishaga mzikwe Kisutu wakati makaburi pale yamejaa.

Wewe timu ziko nane tu bendera haziwezi kujaa na pengine zimewekwa upande mmoja huo unaouona
 
9-1.jpg

Nimeiona mahali hii, hili basi ndo watakuwa wanatumia Serengeti boys huko Gabon ninahisi mabasi hayo yamepambwa na bendera ya kila nchi inayoshiriki, mwenzenu hebu nisaidieni, bendera ya Tanzania hapo iko wapi? au macho yangu
MAGARI YA MASHINDANO YA WATU WAZIMA YALIYO PITA WACHEZE MPIRA TU MBENDERA NDIO NINI
 
Nchi kama Uganda, Tunisia, Algeria hawana timu huko Afcon kwa sasa lakini hilo gari limepambwa na bendera za mataifa hayo!
Siyo Tanzania tu hata Niger japokuwa wanashiriki hilo gari halijapambwa na bendera bendera yao....
 
9-1.jpg

Nimeiona mahali hii, hili basi ndo watakuwa wanatumia Serengeti boys huko Gabon ninahisi mabasi hayo yamepambwa na bendera ya kila nchi inayoshiriki, mwenzenu hebu nisaidieni, bendera ya Tanzania hapo iko wapi? au macho yangu
Sidhani kama upo sahihi kwa sababu hapo naona kuna bendera ya Uganda na wao walishiriki kwenye AFCON. So it's obvious hiyo picha ni ya kipindi kile cha AFCON.
 
ONA iyo bendera ya DRC ndo IPO Tanzania itakua imetengenezwa kabla ya kutenguliwa maamuz ya DRC
 
Jiridhishe kwanza, je mashindano yana timu ngapi? Na kama ni 32 je bendera zimetosha na kama ni 16 je bendera zimetosha??
Hitimisho langu ni kuwa hili basi sio la haya mashindano au kuna nchi imepachikwa ktk hizo bendera ambayo haikupaswa kuwapo hapo.
 
9-1.jpg

Nimeiona mahali hii, hili basi ndo watakuwa wanatumia Serengeti boys huko Gabon ninahisi mabasi hayo yamepambwa na bendera ya kila nchi inayoshiriki, mwenzenu hebu nisaidieni, bendera ya Tanzania hapo iko wapi? au macho yangu

Hujui mpira au ? Ungejua basi ungefikiria kuna makundi mangapi na timu ngapi na then hesabu hizo bendera !!

Siku hizi JF imeingiliwa mtu haoni pen yake au buku anaanzisha uzi !!!
 
Back
Top Bottom