Mapambo msibani Arusha ml.9, na majeneza yamegharimu mil. 8, uongozi unaoacha alama

Tuliliona toka mwanzoni michango inakaribia 400mil wanakuja na story 215Mil mbaya zaidi hata 215Mil nazo pia wamepiga nusu kwa nusu wanaibia mpaka marehemu tamaa mbaya wabongo kweli tumerogwa na nani sijui muda wote tunawaza kuiba tu.
 
Pamoja nayo msiba mzima uligharimu takribani karibia ml.200 ambazo zilitokana na michango ya wasamaria wema.
"Uongozi unaoacha alama"
nina mashaka sana na hizi gharama, wabunge wenyewe tu walijichanga na wakatoa rambirambi ya 100 milioni, yani tuseme nusu ya hela yote hiyo.. halafu tuambiwe kuwa jumla ni 200m tu ndo zimetolewa hadi kufikia jana....!
Gambo una kesi ya kujibu
 
kwa hiyo serikali ilikurupuka kuandaa mazishi bila ya kuwa na hela.....ikitegemea michango wa watu...

mbwembwe zote zile kumbe ilikuwa ni namna ya kutaka kuiba rambi rambi....aibu iliyoje...
Wizi wa rambirambi umekuwa fashion!
 
Back
Top Bottom