Unakuaje pressure juu una vyeti feki au??Kwa anaejua wakuu maana mi hapa Presha nahis iko Juu
Inaumiza Sana Mkuu!, though "fraud has no excuse before the eyes of the Law"Unakuaje pressure juu una vyeti feki au??
Una wasiwasi ya nini?Inaumiza Sana Mkuu!, though "fraud has no excuse before the eyes of the Law"
Seriously Mkuu?Iko busy wanafuta wenye vyeti feki kutoa watu Elfu 10,000 kwenye system hata yenyewe imechanganyikiwa hii kitu gani tena. System Developer hakujua hilo only in Tanzania.