Buhembe, Kagera: Binti amnyonga mtoto wake aliyejifungua siku tatu zilizopita kisha kumzika

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,266
e93497968b3fc421709cfc9356bba642.jpg


Katika hali isiyokuwa ya kawaida Binti mmoja anayeishi mtaa wa Ntungamo Kata ya Buhembe, Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Latifa Vedasto anadaiwa kumnyonga mtoto wake aliyejifungua siku tatu zilizopita na kisha kumzika

Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi linamshikilia binti huyo mwenye umri wa miaka kumi na minane kwa uchunguzi zaidi baada ya kufukua shimo alilokuwa amezikwa kichanga huyo.

Chanzo: TBC habari
 
Back
Top Bottom