Kampuni ya Apple ni kubwa kuliko GDP ya Saudi Arabia.

Royal Warrior

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
1,166
2,143
Salaam...

Je, unajua kuwa kampuni ya Apple (inc) ina market value kubwa kuliko pato la taifa la nchi kama Saudi Arabia.

Si hivyo tu, pia ni kubwa kuliko pato la taifa la nchi yeyote ile barani Africa.

Miongoni mwa nchi zingine ambazo zimepitwa na Apple ni
*Norway
*Sweden
*Switzerland
*Netherlands

Shikamoo Steve Jobs na associates wako.

Capture.PNG

 
Ni kweli mkuu, Saudi Aramco ina market value kubwa kuliko kampuni yeyote ile duniani. estimates zinaonesha ina thamani baina ya US$1.25 trillion and US$10 trillion.
Vizuri sana mimi pia niko na wewe ndugu.
Apple inc ni kampuni iliyoendelea kupita kiasi na kubwa saana.
 
Yaan aple iwe napato kubwa kuliko pato la saudia? Haya tena matan jaman.acha ninyamaze waje wataalam kudadavua hapa maana sijui kabisa ila nashangaa
 
Yaan aple iwe napato kubwa kuliko pato la saudia? Haya tena matan jaman.acha ninyamaze waje wataalam kudadavua hapa maana sijui kabisa ila nashangaa
hapana mkuu hujaelewa. sijasema mapato (revenues) za apple ni kubwa kuliko pato la taifa la Saudi Arabia. lahasha..

nimesema kuwa thamani ya kampuni {yaani market value} ya Apple inc. ndio kubwa kuliko pato la taifa la Saudi Arabia.
 
Ok mkuu sikua nimeelewa maana hii saudia inasemakan ninchitajir sana ndoinaongoA nikashangaa marekan anamakampuni mengi tena makubwa yaan leo hii kampun moja2 tena ya aple inaizid saudia
 
Uchumi eetu unapaa, apple litashuka

kiuhalisi ni kweli, maana apple ni kampuni kama zilivyo kampuni zingine. ikija baadae ikapata mshindani mkubwa kwenye technology ya innovation, ndio tunamzika kama tulivyomzika Blackberry inc.
 
50$ Billion Dollars. actually apple ina thamani zaidi ya mara 16 ya pato la Tanzania.

Kenya GDP $63 bil.population 46 mil.
Tanzania gdp $50 bil.population 53 mil.
Uganda gdp $26 bil population 39 mil.
Rwanda gdp $ 8 bil.population 11 mil.
 
Kenya GDP $63 bil.population 46 mil.
Tanzania gdp $50 bil.population 53 mil.
Uganda gdp $26 bil population 39 mil.
Rwanda gdp $ 8 bil.population 11 mil.
it's just a matter of time before we overtake Kenya. Time will tell.
 
Ok mkuu sikua nimeelewa maana hii saudia inasemakan ninchitajir sana ndoinaongoA nikashangaa marekan anamakampuni mengi tena makubwa yaan leo hii kampun moja2 tena ya aple inaizid saudia
GDP na market value maana yake na tofauti na revenue
 
Back
Top Bottom