Kamishna wa Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya asema wamekamata lita 6,494

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Kamishna wa Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za Kulevya nchini, Rogers Sianga amesema wamekamata zaidi ya lita 6494 za kemikali bashirifu zinazoweza kutengeneza dawa za kulevya mtaa wa kipepeo eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam.

Amesema pia wamebaini maghala mengine yaliyopo Bagamoyo na Moshi.
 
Wangeweka mtego zikisha tengeneza madawa waka kamate hayo madawa sasa hizi kesi za "zinaweza" vipi kama zina kazi nyingine halali?
 
Ndio nn iyo kemikali bashirifu? au ndio kemikali alafu inatabiri mpira
 
Bashite njoo huku uone. Watu wameshaanza kukumisi. Mi nishakusamehe maana nimeona kazi yako ilipofokia.
 
Back
Top Bottom