Nimekuwa nikijiuliza kwanini Halotel iburuzwe Mahakamani(Mkurugenzi wake) Wakati Makampuni mengine ya simu yakifanya makosa huwa yanatozwa tu faini? Je ni kwamba kuna hujuma? Just anxious!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.