St.Mary's international school magari yenu yachunguzwe muda so mrefu mtatuletea ya Arusha.

wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,084
1,061
Magari mabovu..hayafai...mnnakodisha kwa wahuni Tuu ..tu..Kama Mwanao anasoma st.Mary's tafadhali fuatilia usafiri wa watoto ni zaidi ya kichefuchefu.

Kibaya zaidi mama rwakatare hajui..wanamficha.ila mama hakika utabeba misalaba ya watoto watu nyie zibeni pamba tu siku likitokea la kutokea tutazaa na nyie
 
Yaani mzazi unalioa mil.4 ada alafu mtoto anabebwa mwenye screpa. Ada ya mwaka inazidi ya Bachelor degree.
 
Hata mi huwa nashangaa kama hiki kipindi cha mvua ujue mwanafunzi atafuatwa saa mbili na kurudi tegemea saa 12 wakati hata hakuna umbali wa hivyo kati ya shule na nyumbani na yote inasababishwa na magari yao kuwa chakavu kwani kila baada ya mwendo mfupi gari inaharibika.
 
Magari mabovu..hayafai...mnnakodisha kwa wahuni Tuu ..tu..Kama Mwanao anasoma st.Mary's tafadhali fuatilia usafiri wa watoto ni zaidi ya kichefuchefu.

Kibaya zaidi mama rwakatare hajui..wanamficha.ila mama hakika utabeba misalaba ya watoto watu nyie zibeni pamba tu siku likitokea la kutokea tutazaa na nyie
Cha ajabu shule zikifungwa samahani huwa nyingi ila zikifunguliwa mambo huwa yale yale.

Bila mama rwakatare kuwa makini wateja watapungua aisee
 
Mimi kwa sababu nimelipa Ada ya mwaka mzima watakula hiyo hiyo tu..January mwanangu hasomi hapo..magari yote tetenasi tu..
 
Nahisi tuna mawazo sawa hata mimi nimeshatafuta shule nyingine mana sio kwa tabu ile wanayoipata watoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom