Nimekuwa nikifuatilia Dirisha la Usajili La NACTE kwa ukaribu ili niweze kumfanyia kijana maombi kama ilivyo ada sasa tangu watangaze litafunguliwa Tarehe 15/may 2017 hadi sasa bado chenga tu sina hakika na Wataalamu wao wa IT kama Wanasifa za kushililia kitengo hicho ni aibu kwa taasisi hii wanasema litaanza linakuwa empty tangazo ao kwenye age yao lipo hivi: HADI LEO TAREHE 16/05/2007 SAA MBILI NA DAKIKA THELATHINI A SITA ASUBUHI