D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,383
- 3,643
Wakuu
HABARI zenu na imani wengi mu wazma wa afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kimaendeleo na kwa wale ambao sio wazma poleni sana nawaombea mpone na muendelee na shughuli zenu
Takribani miezi sita iliyopita rafiki yangu mpendwa ambae sitamtaja jina alipatwa na msiba wa kuondokewa na mdogo wake wa kiume ambaye alikuwa ni mwanafunzi wa kidato cha nne akiwa amebakiwa na mda mchache afanye mtihani wake wa mwisho.
Kwa kweli mimi nilikuwa mmoja ya watu tulioumizwa sana na kifo hicho ukizingatia siku moja kabla ya kifo hicho kutokea nilimuona marehemu akiwa mzma wa afya.
Siku ya msiba wazazi wa marehemu walilia sana ikafikia hatua mpaka mama wa marehemu kupelekwa hospitali kwani alikuwa akipoteza fahamu mara kwa mara baba wa marehemu nae alilia mpaka macho yakamvimba.
Lakini wakuu kitu kinachonishangaza na kunipa maswali ni utajiri wa ghafla ulioanza kuchipua mara baada ya kifo cha mtoto huyo.Walikua wakiishi katika nyumba ya kawaida tena ya hali ya chini lakini sasa wamezungushia uzio pia wameweka umeme na maji na hivi karibuni wamenunua hiace na gari ndogo(forester used).
Najua wengi mnaweza kudhani labda ni jitihada zao binafsi lakini nadhani mapato yao ni tofauti na mali walizoanza kuzimiliki baada ya kifo cha mtoto huyo.
Baba ni dereva hiace na mama anauza mgahawa huko uswahilini.
Wakuu sidhani kama kweli kwa akili mlzonazo ma-greater thinkers mnaona mali hzo znaendana na kazi hizo.
Zaidi namsikitikia mtoto huyo kwani nadhani ndiye mzalishaji wa mali hizo huko katika ulimwengu wa giza.
wale msioamini uchawi mpo?
Wanaoelewa zaidi kuhusu mambo ya giza nadhani mtatuongezea elimu zaidi
Sipendi povu