Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu huu mpango tuukatae It is very shame nchi kubwa hivi inabebwa na kuongozwa eti na.kushauriwa na kanchi kadogo kama kalee Hivi kweli mtu akupe wataalam wa Computer kwa dunia ya leo mtu...
4 Reactions
60 Replies
5K Views
Shirika la Umeme Tanzania Tanesco mkoani hapa, limesitisha huduma za umeme katika mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira (Kiwira Coal mine) na Ofisi za jeshi la polisi mkoani hapa baada ya taasisi hizo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnisaidie jinsi ya kushare post kutoka Facebook au Instagram kwenda Jamii forum
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Juzi mheshimiwa rais alisema mkataba kati ya TBC na Startimes uchunguzwe Nadhani huu ndo wakati muafaka kwa hawa wachina (wanyonyaji) kuacha kutumia mitambo ya tbc ya kodi zetu huku wakituuzia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu,sisi watanzania ni watu wa kukata tamaa sana, watu wa kugive up mno, ni waoga wa usahili/interview, wakimbiaji wa mbio fupi.Wanafunzi wengi nchini wanamalizia bila matumaini, wanaingia...
1 Reactions
3 Replies
772 Views
Habari wanajamvi? Teklojia ya mawasiliano imekuwa kiasi ambacho unaweza kufanya mambo mengi kupitia simu yako ya mkononi. Zamani kidogo tulianza kwa kutumia miche ya sabuni, ikaja kichwa cha...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Hivi karibuni tulishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akianzisha kwa kasi ya ajabu vita dhidi ya madawa ya kulevya, huku akiapa to leave no stone unturned.Wananchi tulifurahi na tukaamini...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kitendo cha kupelekwa marekani kwa watoto watatu walionusurika kwenye ajali binafsi kimenisikitisha sana, kwani ni dhahiri kuwa hosipitali zetu zina kasoro, na kama ikimtokea mtu ambaye hana...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Wakuu mambo vipi, nina mgonjwa wangu ambae amelazwa tmj but nataka kufanya mpango nimpeleke India but sijui process zozote za kufanya so kwa yoyote ambae amewahi kumpeleka mgonjwa wake hospital...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Huyu ni raia wa Saudi Arabia ambae ameajiriwa na serikali ya nchi hiyo hususan katika hukumu za kunyonga kwa kuchinja watu, na anakiri kuwahi kuchinja hadi watu 3 kwa siku, na anapinga kuwa...
1 Reactions
3 Replies
13K Views
Katika hali ya kushangaza na hulka za wateule wa Magufuli kujiamria mambo pasipo na weledi Mkurugenzi wa halmashauri ya Lushoto bwana Makwega Kazimbaya ameziua shule zote za msingi na sekondari...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Mimi kwanza nashangaa na kusikitishwa na nguvu polisi wanazotumia kwa raia. Huu ubabe hawapaleki popote.Mkiamua kutumia risasi basi hakikisheni risasi inatoka na kuua au kujeruhi mtu. Kwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Connection error: SQLSTATE[42000] [1203] User utumishi already has more than 'max_user_connections' active connections kuna nini kipya kwa mliofanikia kuingia watumishi portal?
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Na maswali mengi najiuliza majibu bado sijapata kwanini imefikia hali hii. kwanini vyombo vya usalama kukosa utetezi katika taifa ili, Wananchi uona wanakosea katika kufanya kazi zao upelekea...
0 Reactions
0 Replies
653 Views
Kila ninapotazama mbele –tuseme miaka 20 ijayo – kuhusiana na lugha yetu ya Kiswahili, naona tunakoelekea kama taifa si kuzuri sana. Zamani ilizoeleka utani kwa watu wa kanda ya ziwa ambao kwa...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Habari za asubuhi wakuu, Yoyote mwenye video ya interview ya Mboni talk show with Subrina wa yule mfanyakazi wa chumba cha kuhifadhia maiti katika hospital ya Tumbi tuwasiliane please.
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoani Mara imekamata sukari kutoka viwanda vya Kagera na Kilombero ikiwa inabadilishiwa kwenye mifuko ya Kiwanda cha Sukari cha Son Sugar cha Kenya ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TMA: Hii ni mamlaka ya hali ya hewa Tanzania, hawajawahi kuripoti ujio wa janga lolote la kiasili zaidi ya kutangaza daily kuwa kutakuwepo na mawingu, mvua, ngurumo na vipindi vya jua nchi nzima...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom