Startimes wanyooshwe tu, asante JPM

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Juzi mheshimiwa rais alisema mkataba kati ya TBC na Startimes uchunguzwe
Nadhani huu ndo wakati muafaka kwa hawa wachina (wanyonyaji) kuacha kutumia mitambo ya tbc ya kodi zetu huku wakituuzia local channel
Na huenda wakashughulikiwa
Maana wanatulipisha mpaka tbc wasivyokua na huruma
Siku zao zinakaribia
 
hapa tido inaonesha alikula mkwanja pia
 
Mnapenda kulalamikaaaa eti gesi sijui nini..hapa inaongelewa startimes wameambiwa walipe...miaka saba ya kutolipwa kwishney.
kukumbusha si jambo baya hata ww unaweza kumkumbusha mtu kupitia jambo fulani.. lkn hata hivyo la startimes lipo kwenye process linashughulikiwa kwani kuna kikwazo cha kuhoji mengine..?
 
Mnapenda kulalamikaaaa eti gesi sijui nini..hapa inaongelewa startimes wameambiwa walipe...miaka saba ya kutolipwa kwishney.

Nilidhani huwa unajitokeza tu kumjibia Makonda kama tulivyokuzoea kumbe mpaka kwa Magufuli pia huwa unamtetea?
 
Nilidhani huwa unajitokeza tu kumjibia Makonda kama tulivyokuzoea kumbe mpaka kwa Magufuli pia huwa unamtetea?

Ha ha haaaaaaaa

Napenda kuangalia lori lake likipita mbio. Amenivutia kwenye mengi hata kupenda kusikiliza taarifa za habari za nchini hapa, zamani ilikuwa labda jambo linisukume.

Magufuli 2020
 
Ha ha haaaaaaaa

Napenda kuangalia lori lake likipita mbio. Amenivutia kwenye mengi hata kupenda kusikiliza taarifa za habari za nchini hapa, zamani ilikuwa labda jambo linisukume.

Magufuli 2020

Kwahiyo kumbe huko nyuma ulikuwa unasubiri mpaka ' Jambo ' likusukume Mkuu? Samahani hebu nieleweshe vizuri na taratibu kwani sisi Watu wa ' Pwani ' hiyo kauli yako ya mpaka jambo likusukume kidogo linatupa ' ukakasi ' uliotukuka wa kuielewa.
 
yote haya CCM ndo imefanya mikataba ya hovyo'. leo wanataka ichunguzwe mchunguzaji ni yeye alie ianzishe yahitaji ujasiri kuielewa ccm( chama cha majambazi)
 
Back
Top Bottom