Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Wakuu,sisi watanzania ni watu wa kukata tamaa sana, watu wa kugive up mno, ni waoga wa usahili/interview, wakimbiaji wa mbio fupi.Wanafunzi wengi nchini wanamalizia bila matumaini, wanaingia mtaani bila matumaini.
Inakuwaje mtu anakuwa anasema "siamini kama ntapata hii kazi?".Hajiamini?Umeendeaje chuo na kumaliza kama hujiamini? Hawa ndo wale ambao wanakuwa wanameza madesa au simbi ilimradi tu wafaulu.
Inakuwaje mtu anakuwa anasema "siamini kama ntapata hii kazi?".Hajiamini?Umeendeaje chuo na kumaliza kama hujiamini? Hawa ndo wale ambao wanakuwa wanameza madesa au simbi ilimradi tu wafaulu.