Polisi msipoteze risasi bure

aminiusiamini

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,577
2,221
Mimi kwanza nashangaa na kusikitishwa na nguvu polisi wanazotumia kwa raia.

Huu ubabe hawapaleki popote.Mkiamua kutumia risasi basi hakikisheni risasi inatoka na kuua au kujeruhi mtu.
Kwa kawaida,ukielekeza risasi kwa kitu (aiming) maana yake uko tayari kufyetua na sio kufyetua hewani kama nyie ni wanaume kweli.
Ubabe wa silaha hausaidi bali kuelekezana na kuheshimiana.

Tatizo jeshi linaongozwa na vilaza na maaskari vilaza. Ingekuwa mimi Polisi ningeinfanya ya kisasa zaidi na wasomi wenye mishahara mizuri na marupurupu.
 
....................... Ingekuwa mimi Polisi ningeinfanya ya kisasa zaidi na wasomi wenye mishahara mizuri na marupurupu.

Kweli kabisa ndugu.Jeshi la polisi latakiwa liwe na wasomi wengi kuondoa ujinga mwingi uliojaa huko! Huwa nashangaa sana kwa nini askari polisi huchukia sana ukitumia neno la kiingereza unapozungumza naye?!
 
Polic lazima isukwe upya... lazima liwe na officers waliolwenda shule...
Hawa wenye elimu ndogo ndio huwa wanataka sana kujionyesha ni wababe kumbe kichwan hamna kitu
 
Ukiongelea mishahara mizuri utambue na elimu zao pia. Kule asilimia kubwa walikuwa wanawekana kindugu ndugu...utakuta hata elimu walikuwa hawazingatii ndio tatizo lao kubwa....wenye elimu....elimu yao ni duni sana...yaani ni haba. Walisuke upya ndpo mengine yafuate
 
Kama polisi wababe waende kibiti wakachinjwe kama kuku, sio wanakimbilia kupiga bao barabarani na kukamata walevi.
 
Tahadhari: Ukisimamishwa na polisi usiongee kiingereza....wataku-term kuwa unadharau mamlaka/serikali!
 
Tahadhari: Ukisimamishwa na polisi usiongee kiingereza....wataku-term kuwa unadharau mamlaka/serikali!
Kwani we ndio ulimwambia asijifunze hiyo lugha. Mbona ni rahisi tu.
Hao polisi wengi wao nivilaza na ombaomba wanakera sana.
 
Kwani we ndio ulimwambia asijifunze hiyo lugha. Mbona ni rahisi tu.
Hao polisi wengi wao nivilaza na ombaomba wanakera sana.
Mkuu nilikuwa natoa tu tahadhari, uliona alichofanyiwa malima??? Povu loooote Hilo ni kwasababu mtu ameongea kiingereza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom