Muhammad saad al-beshi, Saudi Arabia's state executioner ...

Muhammad saad al-beshi, Saudi Arabia's state executioner ...

Mpucha

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
1,269
Reaction score
1,648
Huyu ni raia wa Saudi Arabia ambae ameajiriwa na serikali ya nchi hiyo hususan katika hukumu za kunyonga kwa kuchinja watu, na anakiri kuwahi kuchinja hadi watu 3 kwa siku, na anapinga kuwa kuchinja binadamu sio ukatili, msikilize hapa
 
The bold

Huyu haramia wako mwingine huyo hapa

baby the bold and the handsome Nifah uje haraka huku kuna mtu anadokoa chakula yako kabla hujapata talaka 3*3
 
Back
Top Bottom