Taarifa kutoka Arusha inasema Mwanajeshi mmoja wa JWTZ amechomwa kisu na vibaka walioiba simu alipoingilia kati kuiokoa hiyo simu iliyoibiwa huko Matejoo Arusha na hao hao vibaka.
Alikuwa...
Jamani samahanini naihitaji kufahamu majina ya hivyo viwanda, Sehemu vilipo na vinajihusisha na uzalishaji wa bidhaa gani ili na mimi nipeleke maombi..
TSNP: TUTAWAFIKISHA MAHAKAMANI WAANDAAJI WA MISS TZ.
Kurugenzi ya sheria ya TSNP (Tanzania Students Networking Program/Mtandao wa Wanafunzi Tanzania), imepokea malalamiko kutoka kwa walimbwende...
Jana nikiwa nimempeleka bibi hosptali ya Rufaa hapa Iringa Mjini Mida ya SAA mbili Asubuhi tukiwa kwenye foleni ya kumuona Daktari alikuja mama akiwa amevaa niqab 'kimtaani tunaita kininja" naye...
Tabia inayoendelea ya Vijana wetu kufurahia kwa kumwagiana maji machafu, matope, kuchapana bakora au kupigana na viatu kwenye tarehe ya siku zao za kuzaliwa (Birthday) ni tabia inayopaswa...
Inawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?.
Huyu mzee amekwenda...
Mvua kubwa za masika zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya pwani za Bahari ya Hindi zimetuletea gharika nchini Zanzibar, ambako makaazi ya watu, miundombinu ya usafiri na majengo ya...
Serikali kupitia jeshi la polisi sasa imepitisha azimio kwa majeruhi wote kutibiwa bila pf3,ambapo hapo kabla majeruhi walitakiwa kuwa na form ya pf3 ili waweze kupata matibabu, lakini kupitia...
Habari jamvini.
Mimi nikiwa member wa jf toka 2013, nilikuwa nafatilia mambo mengi humu toka kwa watu mbalimbali, kwakweli nimepata faida ya kujifunza mambo mengi sana ikiwemo hekima na staha...
Saidi Rajabu Saidi leo amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 20 jela na mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na mafuta ya Simba yenye thamani ya Sh. 10,711,400...
Niliwahi leta hii mada ambayo ni kama wazo(theory) ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona nilikuwa sahihi kabisa.
Nimejikuta nawaza hivi kuhusu uumbaji
Kwa haya yanayoendelea nafikiri sasa...
Mmiliki wa Shule, Meya wa jiji la Arusha pamoja na waandishi wa habari 10 wamefikishwa kituo cha polisi (Central) kwa kufanya mkusanyiko bila kibali ndani ya shule ya Lucky Vicent.
Kutoka Arusha...
Napenda kupongeza na kuunga mkono juhudi za serikali kuhakiki vyeti feki. Ni kazi kubwa na nzuri sana imefanyika sasa naomba basi upanuliwe wigo wa uhakiki. Naipongeza sana serikali ya JPM lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.