Connection ya Hosp za India

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
7,215
7,384
Wakuu mambo vipi, nina mgonjwa wangu ambae amelazwa tmj but nataka kufanya mpango nimpeleke India but sijui process zozote za kufanya so kwa yoyote ambae amewahi kumpeleka mgonjwa wake hospital India basi anisaidie Idea kidogo jinsi mambo yanavyokwenda mpaka napata hospital na process zote...
 
Back
Top Bottom