Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

TMA: Hii ni mamlaka ya hali ya hewa Tanzania, hawajawahi kuripoti ujio wa janga lolote la kiasili zaidi ya kutangaza daily kuwa kutakuwepo na mawingu, mvua, ngurumo na vipindi vya jua nchi nzima...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, Naomba kuuliza kumhusu huyu jamaa Abbas Tarimba Abbas ambaye alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Bahati Nasibu ya Taifa (Gaming Board of Tanzania). Bahati Nasibu ya Taifa ni Idara ya...
0 Reactions
14 Replies
12K Views
Hivi sheria ipi inalazimisha wananchi kutoa michango ya Mwenge? Je wakigoma wanashtakiwa kwa sheria ipi? Kama hiyo sheria haipo kwa nini wananchi au asasi za kiraia hazijafungua mashtaka...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Huyu jamaa ana kipaji cha ajabu na wala hakupaswa kuwa anashinda kuchora vikatuni Magazetini, na kufanya udaku Clouds Fm bali Masudi Kipanya alifaa awe Profesa wa Ubunifu, alipaswa akabidhiwe...
20 Reactions
110 Replies
16K Views
Watanzania wenzangu niulize,hivi tuna shida gani hata tupende dawa kiasi hiki?Yani tukisikia tu tunda fulani dawa basi litakua dili sana kwani tunaumwa nini?dawa kazi yake kutibu hivyo...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Wadau kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu wale wote wanaotumia vyeti bandia kujiondoa kwa hiari linafikia tamati leo. Wadau wanasubiri kuona ni hatua gani zitachukuliwa...
2 Reactions
43 Replies
14K Views
Wasalaam wakuu. Kama mtu alikuwa anafanya kazi ya kudumu, ghafla muajili akaamua kuoutsource majukumu yake kwa kampuni nyingine ya nje ni malipo gani anastahili kupata? Na ni sheria ipi inampa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habarini wana jamvi siku moja katika pita pita zangu nlikutana na tukio ambalo ilibaki kidogo linitoe machozi ukiwa pale maeneo ya kariakoo (dar es salaam) katika stend za magari yaendayo temeke...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nimeangalia taarifa ya Habari ITV ikionesha ajali ya lori mkoani Lindi.Madereva wamelalamikia kuchoshwa na serikali kutotengeneza hii barabara.Cha ajabu baada ya Mkuu wa Mkoa kutuliza watu kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa anae jua kusoma na kuandika kuna nafasi imeachwa wazi Kilimanjaro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
2 Replies
704 Views
Wakuu kwa yeyote mwenye pikipiki used nahitaji ....anichek PM
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habari wakuu mwezi ujao nimeplan kwenda kenya kwaajili ya kutizama fursa mbalimbali za kibiashara, naenda kuangalia ni bidhaa zipi ambazo kenya zinauzwa kwa bei ya juu na hapa tanzania ni bei...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kampuni ya @ Tigo Tanzania imekuja na @JazaUjazwe Dakika,Sms na Mb kibao njoo Ujazwe sasa!
1 Reactions
36 Replies
8K Views
Habari ndugu zangu . naomben kupata video kamili ya kipind alihojiwa Mchungaji kakobe enzi zile kwenye kipind cha kitimoto cha Mwandishi makin na mzalendo ndugu @pascalmayalla Japo hakikurushwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi, Nina imani humu tupo watu wa imani tofauti ikiwemo ukristo na uislamu na pia nina amini kua kati ya imani zote hizo hakuna imani inayo sapoti mtu kuwa na kiburi kwa maana...
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Huu uvumi na kusemwa kila kona polisi vijana wanajisikia vibaya sana na wako frastrated huku wakijiona jamii haiwakubali. Ukicheki tukio la askari yule aliyepiga risasi hewani na kusikiliza...
0 Reactions
4 Replies
968 Views
Katika mizunguko yangu Leo nilitaka kwenda wilaya mkuranga mjini then badae nifanye matembezi katika mji mdogo wilayani humo uitwao hoyo hoyo na badae nimalizie kijiji cha vikangara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
E.g eee baba Mungu, tulinde na wezi,majambazi,watu wa dini wenye misimamo mikali, eee Mungu tusaidie, aamin.
2 Reactions
2 Replies
754 Views
Back
Top Bottom