Msaada jinsi ya kushare post JamiiForums

Wakuu naomba mnisaidie jinsi ya kushare post kutoka Facebook au Instagram kwenda Jamii forum
Unataka kucopy na kupaste ama?

Kama ndiyo, inategemeana unatumia nini. Kama ni Applications za Facebook na Instagram, nadhani huwezi kucopy na kupaste.

Lakini hayo yanawezekana endapo utatumia Browser ku-access mitandao hiyo. Utaikopi kisha unaanzisha thread huku.

Usisahau kutoa Credits kwenye chanzo husika.
 
Ngoja nijaribu shukrani mkuu
 
Ingia fb kwenye account yako kupitia google,tafuta hio account yenye post uitakayo kisha click mwanzon mwa neno la post chagua select kisha shuka nayo chini mpaka maneno yote yapate rangi ya blue au black kisha yatatokea maneno hapo chagua copy. Ukija huku click paste

Njia hii hii tumia kwenye post yoyote ya insta bila kutumia application zao
Kuna post moja Facebook nzuri sana na nimepata knowledge kubwa sana baada ya kuisoma sasa nataka niihamishie humu jamii forum ili tufaidike wote
 
Unataka kucopy na kupaste ama?

Kama ndiyo, inategemeana unatumia nini. Kama ni Applications za Facebook na Instagram, nadhani huwezi kucopy na kupaste.

Lakini hayo yanawezekana endapo utatumia Browser ku-access mitandao hiyo. Utaikopi kisha unaanzisha thread huku.

Usisahau kutoa Credits kwenye chanzo husika.
Shukran sana mkuu tayari nimejaribu na imekubali
 
Back
Top Bottom