Kwanini vyombo vya usalama tu?

milito23

Member
Jul 12, 2015
87
15
Na maswali mengi najiuliza majibu bado sijapata kwanini imefikia hali hii.

kwanini vyombo vya usalama kukosa utetezi katika taifa ili, Wananchi uona wanakosea katika kufanya kazi zao upelekea kukwamisha ufanisi wao wa kazi na swala zima la kiusalama katika taifa ili?

Kwanini wanaonekana ni waonevu machoni mwa wananchi wao ?

Kwanini waonekane wakosefu katika kukamilisha majukumu yao?

Kwanini vyombo vya kiusalama viusishwe na Siasa na wananchi kusahau majukumu ya vyombo hivyo?

Kwanini watu wanajiekea mitazamo kuwa vyombo hivyo utumika kwa matakwa ya watu flan flan.?

Kwanini ukosa ushirikiano katika jamiii zetu kwa ujumla upelekea chuki !? (chuki zinatoka wapi ).

Tukumbuke kuwa wanaofanya kazi hizi ni ndugu zetu, jamaa zetu ,baba zetu, mama zetu na rafiki zetu. Unaweza furahi leo ila kesho ikawa kwako waliofurahi majipu sasa ndo wanachukua vyeti feki usisubili yakukute.
 
Back
Top Bottom