Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 142
Hj
Kweli?Rambirambi za Arusha
Pamekuwepo na maswali mengi sana kuhusu mgao wa rambi rambi na hivyo kutolewa ripoti ambayo bado ina maswali mengi sana kwa wengi, ni vema ufafanuzi ukatolewa zaidi na maswali yakajibiwa maama ikijiamini kuwa ww ni kiongozi bora lazima uwajibike hata maswali uyajibu ili uwaridhishe na swala hili lisiendelee kuwepo kama agenda ya kila siku, isitoshe bado kuna salio la sh mil 56,000 au zaidi na salio hilo kuwapa wenyewe bado imekuwa kazi kubwa sana hili linaleta picha gani kwa wananchi na waliotoa pesa zao kuwasaidia hawa, je nini tutegemee kutoka kwa wananchi kwa siku zijazo na utawala utegemee nini kutoka kwa wananchi.