Kuna nini hadi watu wafurike website ya Utumishi?

jose mjasiriamali

JF-Expert Member
Sep 17, 2014
1,755
1,566
Connection error: SQLSTATE[42000] [1203] User utumishi already has more than 'max_user_connections' active connections


kuna nini kipya kwa mliofanikia kuingia watumishi portal?
 
Dhahabu inakaribia kuvumbuliwa... Tatizo, maapolo ni wengi ni hakuna kifani!!


Teeeh teeeh teeeh teeeh, haaa haaaae haa haaa haaa.

Mkuu, angalizo :- kuna nyeti zimetoka kuwa. ""Andaa vyeti halisi, maana Kama ni vyeti feki jela inakuhusu, miaka 7 na faini ongezea na viboko 12"

Kwa hiyo tupia mikeka ya ukweli ukiweka feki hutaonekana uraiani hadi miaka 7 iishe.
 
Back
Top Bottom