Habari zinazohusiana na hii Wamiliki wa shule, meya, waandishi wawekwa chini ya ulinzi shuleni Lucky

Nachingwea

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
261
110
upload_2017-5-18_14-3-8.png
 
Duh hiki ni kichekesho ingawa haifai kucheka sasa kuna tatizo gani wakitoa rambirambi au wanataka zipitie kule kwanza
 
Sasa hivi vitu vya kutumia nguvu ya police havifanyiki ila police wapo kwa kazi moja tu ya kuzuia popote pale mpinzani anapoonekana kifanyia kazi wananchi
 
Polisi wanatumika vibaya.Hii ni ishara mbaya ktk nchi hii.Kisa chote ni uwepo wa Meya ambae anatokea chadema.Ingekuwa ni Gambo wala hawa polisi wasingeenda kufanya chochote.Polisi msifanywe vibaraka watu watajenga chuki kwenu.Tunasikitika mnapopata madhara ktk kazi zenu nawashauri mkajiendeleze kielimu muachane na hiyo kazi ya lawama na laana.
 
Back
Top Bottom