Jana nilipokuwa nasikiliza Muheshimiwa waziri akihitimisha Bajeti ya wizara yake
Nilimsikia akisema kuwa tozo za mlima kilimanjaro bado ni rahisi kwa kuwa Makampuni huwatoza wageni dola za...
Mwanamama ,Natalie Wynne Pace katika kitabu chake cha ,Put Your Money Where Your Heart Is: Investment Strategies for Lifetime Wealth from a #1 Wall Street Stock Picker,katika ukurasa wa 25...
mama yangu na ww ni mzazi. najua ww si kama mm. ww mama yetu unachokijifungu cha pesa japo kidogo lakini kinaweza kumsaidie huyu ama yule chakula.
Kilichonisukuma kusema haya ni hili nililolisikia...
Hivi hawa jamaa wana kazi gani? Wapo bize kufuatilia vitu vidogo vidogo kuna skendo au kesi kubwa za ufisadi zimeibuliwa bungeni au wanazijua ila hawachunguzi wala kuchukua hatua, hata hili sakata...
Anaandika brother Malisa GJ a.k.a the great thinker, Of course nakubali sana
Tumuunge mkono Mhe.Rais kwa kupigania rasilimali za nchi zisipotee lakini tuzuie wajinga wachache wanaotaka kubeba...
Wadau naomba msaada kwa anayejua taratibu halali za kulipia bima ya gari thirdparty.Ninajua kuwa unaweza lipa kupitia mawakala lakini kipindi cha hapa kati nilisikia tetesi kuwa unaweza lipa na...
Mtukufu Rais baada ya madini twende na TANAPA kujua wanyama wangapi walisafirishwa nje? Huko nako kuna balaa zaidi. Naomba tu watanzania tuzidi kumuombea rais wetu. Mungu akubariki sana Rais wetu.
ESCROW,
LUGUMI,
EPA,
NIDA,
RICHMOND,
KIWIRA,
MEREMETA,
TANGOLD,
KAGODA,
BUZWAGI,
MABEHEWA,
MAKOKTENA YA MCHANGA
UUZWAJI NYUMBA ZA SERIKALI,
GESI YA MTWARA.,
DEEP GREEN,
MFUKO WA...
Kwa ufupi habari zinasema Marehemu huyo alikua ni Raia wa Ghana akifariki Dar es Salaam nyumba ya wageni na baadaye Kupelekwa mochwari ya Hospitali ya Mwananyamala.
Kamanda Sirro anasema...
Tanzania prides itself with various cultural communities living together in harmony. This is a trait which was not achieved overnight. Our founding fathers of this nation worked very hard to...
Bait Al Ajaib ni moja ya alama ya utambulisho kuwa hapa ni Zanzibar
Ni moja katika vivutio vikubwa vya utalii Zanzibar
Ni jengo lenye historia kubwa linaachwa likipoteza haiba yake,
Sasa sijui...
Kichwa cha habari chahusika
Kikukweli walinzi wa pale Geti kuu la kuingia hospital ya Bugando wanakera mno hata kama wanafuata taratibu zilizowekwa na hospital
Kimsingi hospital ni sehemu ya...
Polisi mkoa wa Dar es Salaam wamekusanya milioni 304 kama faini za barabarani kutoka tarehe 22/5 hadi 25/5. Kamanda Sirro amesema mapato yameshuka sababu ya mvua na watu wanaacha magari nyumbani.
Nimekwenda kituo cha polisi kuripoti taarifa ya upotevu al maarufu kama loss report baada ya kufungua taarifa nikaenda kwa muhasibu kulipia kisha nikaelekezwa au niseme nikaamriwa niende nje...
Ni kwanini karibia Wageni waalikwa wengi wakiwa IKULU kuhudhuria hafla fulani muda mwingi tu wanakuwa wamenuna, sura zao zimejaa uwoga na hata upigaji wao wa makofi katika jambo fulani huwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.